Thursday, May 26, 2016

R.I.P ENG SHABANI R. SAID



  Marehemu Eng Shaban R Said wa kwanza kulia enzi za uhai wake

Ama kwa hakika ni mshituko usio elezeka baada ya familia ya coet-2008 kumpoteza ndugu yetu kipenzi Eng Shabani R Said kwa ajali ya gari  jana tarehe 25 May 16 Mkoani Shinyanga, ikumbukwe familia hii imeshawahi kumpoteza Eng Edwin Kikula kwa tukio la ajali km hii. MUNGU azilaze roho za Marehemu wapendwa wetu mahali pema peponi, ama kwa hakika ni msiba mzito katika familia hii ya waliomaliza coet 2008. Marehemu kaacha Mke na Mtoto Mungu ampumzishe kwa amani milele amina.Mazishi ya Eng Shabani Said yanatarajiwa kufanyika kesho saa nne mkoani Kondoa.



                       


Coet-2008 Family inatoa pole kwa famila ya Eng Shabani Said kwa msiba huu mzito  Mungu wape subira katika kipindi hiki kigumu kwao.


No comments:

Post a Comment